Thursday, December 03, 2020

RELIGIOUS

Ahmadiyya Muslims’ services commended as very helpful

THE Ahmadiyya Muslims of Tanzania today mark 50 years of their services to Tanzanians by holding a general meeting in Msongola Ward in Ilala, Dar es Salaam. The leader of the Ahmadiyya Community in Tanzania, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry, told reporters in Dar es Salaam yesterday that they have invited President John Magufuli to grace […]

NEWS

Saudi Arabia yazuia wageni kutembelea miji ya Makka, Madina Kwa Hofu Ya Virusi Vya Corona

Serikali ya Saudi Arabia imezuia wageni wote wanaoingia nchini humo kwa safari za kidini, ikiwemo wanaotembelea miji mitakatifu katika dini ya Kiislamu – Makka na Madina. Mamilioni ya watu huingia Saudia mwaka mzima kufanya ibada ya Umra, na wengi zaidi huingia kwa pamoja kufanya ibada ya Hija. Tofauti na Hija, Umra hufanyika katika kipindi chochote […]

Endangered rhino and elephant numbers rise after crackdown on poaching, says Tanzania

The number of endangered rhinos in Tanzania has risen after a crackdown on gangs guilty of industrial-scale poaching, the country’s officials have claimed. And elephant populations have also gone up, thanks to a blitz on illegal ivory hunters, the president’s office said. But watchdog figures suggested the increase was less dramatic than claimed, and wildlife experts […]

ELIMU

Siku ya Hijabu ya Waridi yaadhimishwa nchini Tanzania

Sherehe ya kuadhimisha Siku ya Hijabu ya Waridi imefanyika leo mjini Dar es Salaam, Tanzania kwa ushirikiano wa ofisi ya Mwambata wa Utamaduni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mwenyekiti Taifa wa Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam nchini Tanzania (JUWAKITA), Shamim Khan ambaye amehutubia sherehe hiyo amesema kuwa vazi la mwanamke wa Kiislamu la hijabu […]